FURSA ZA UFADHILI WA MASOMO NCHINI SAUDI ARABIA KWA MWAKA WA MASOMO 2025/2026
FURSA ZA UFADHILI WA MASOMO NCHINI SAUDI ARABIA KWA MWAKA WA MASOMO 2025/2026
- Tunapenda kuwatangazia Watanzania kuwa Serikali ya Saudi Arabia imetoa fursa za Ufadhili wa masomo ya juu jumla ya nafasi mia moja na ishrini na saba (127) kwa Tanzania. Nafasi hizo ni kwa ngazi mbali mbali za vyuo vilivyopo nchini Saudi Arabia.