The Chancellor of the University of Dar es Salaam (UDSM) and former President of the United Republic of Tanzania, His Excellency Dr. Jakaya Mrisho Kikwete, has applauded the remarkable progress on the construction of the new UDSM Lindi campus
      
       Naibu Makamu Mkuu wa Chuo, Taaluma wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 13 hadi 16 Julai 2025 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo: