Skip to main content
Body

TANGAZO LA KUITWA KAZINI

Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kinapenda kuwataarifu waombaji kazi mbalimbali waliofanya usaili tarehe 2 hadi 4 Mei, 2026 kuwa, majina ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. 

Waombaji waliofaulu usaili watatakiwa kukamilisha taratibu mbalimbali za ajira kwa kufika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) jengo la Utawala, Ofisi ya Masjala, Chumba Na. 315 siku ya Jumatatu, tarehe 25 Mei, 2026 kuanzia saa tatu kamili asubuhi, wakiwa na nyaraka zilizoainishwa katika tangazo hili ili ziweze kuhakikiwa kabla ya kupewa barua za ajira. 

Kwa wale ambao majina yao hayapo katika tangazo hili, watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa.

Soma zaidi >

Announcement Date