Serikali ya wanafunzi wa Chuo kikuu cha Dar es salaam @Darusomlimani kupitia wizara ya sayansi, teknolojia, uvumbuzi na Ujasiriamali kwa kushirikiana na Kampuni ya Adanian Labs @adanianlabstz kupitia mradi wa Power Learn Project @plpafrica wanapenda kutangaza fursa za kusoma masomo ya Software Engineering bure kabisa .
Mradi wa power Learn Project umelenga kuwafikia watu Milioni Moja barani Africa .Kusoma masomo haya ya Software Engineering ni kwa wanafunzi wa kozi zote watakaohitaji .
Jisajili kupitia Link: https://form.jotform.com/222892338177566
Maelezo zaidi tuma Ujumbe whatsapp 0734460217