.
Mafunzo haya yametolewa kwa ufadhili wa ALAF, kusherekea siku ya Kiswahili Duniani mwaka Julai 2024
ReadMaadhimisho ya Siku ya Kiswahili Duniani (MASIKIDU-2023), tarehe 04-Julai 2023 katika ukumbi wa Maktaba Mpya ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
ReadUongozi wa TATAKI ukiwa na Ujumbe kutoka Chuo Kikuu cha Port Harcourt Nigeria. Kutoka kushoto ni Dkt Adventina Buberwa Mudiri wa Idara ya Lugha ya Kiswahili na Isimu,
ReadHafla ya kukabidhi ufadhili wa ALAF kwa wanafunzi wa MA Kiswahili wa UDSM tarehe 15 Disemba 2022
ReadTarehe 09 Januari 2023, Taasisi ya Taaluma za Kiswahili tulitembelewa na wajumbe kutoka Idara ya Lugha na masomo ya Afrika,Chuo Kikuu cha
Havard -Marekani
Tunashukuru shirika la UNESCO kwa kuiadhimisha lugha ya Kiswahili na kuiwekea hadhi kubwa ambayo itaifanya ipate maendeleo zaidi duniani kote katika sekta mbali mbali
ReadSherehe za Sabasaba za Mwaka 2022 zilizofanyika katika Mkoa wa Dar es Salaam. Taasisi ya Taaluma za Kiswahili ilishiriki Kikamilifu.
Read