UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM
INSTITUTE OF KISWAHILI STUDIES (IKS)

Mafunzo ya Lugha ya Kiswahili kwa wanahabari mwaka 2024

Mafunzo ya muda mfupi ya matumizi ya lugha ya Kiswahili kwa wanahabari. yalitolewa kwa siku tano katika eneo la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kupitia Taasisi ya Taaluma za Kiswahili, yalidhaminiwa na kampuni ya utengenezaji mabati ALAF iliyopo Dar es Salaam. Lengo la mafunzo haya kwa wahusika ni matumizi mazuri ya Kiswahili, pia vyeti vya wahitim haya vilitolewa siku ya kuadhimisha Kiswahili Duniani mwaka 2024.

.

Read

.

.

.

.

.

.

.

.