Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kinapenda kuwataarifu waombaji kazi mbalimbali waliofanya usaili tarehe 5 Desemba, 2025 kuwa, majina ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Waombaji waliofaulu usaili watatakiwa kukamilisha taratibu mbalimbali za ajira kwa kufika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) jengo la Utawala, Ofisi ya Masjala, Chumba Na.
The University of Dar es Salaam (UDSM) is pleased to invite applications from qualified MSc and PhD students for 10 available mobility positions under the Erasmus+ Programme to undertake a one-month academic exchange at the World Maritime University (WMU) in Malmö, Sweden.