UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM
SCHOOL OF MINES AND GEOSCIENCES (SOMG)

News

Washindi wa Maonesho haya yaliyofanyika tarehe 12- 14/ 04/2023 walipewa zawadi ya cheti na pesa taslim shilingi 1,000,000 kwa kila mmoja. Zawadi hizi zilitolewa katika Hafla fupi ya kufunga maonesho ya 8 ya wiki ya utafiti na uvumbuzi katika Shule Kuu ya Madini na Jiosayansi, iliyofanyka tarehe 14/04/ 2023 katika Ukumbi wa Petroleum Lab katika Shule ya Kuu ya Madini na Jiosayansi.

Akikabidhi zawadi hizo Amidi wa Shule kuu ya Madini na Jiosayansi Dr. Elisante Mshiu alisema zawadi hizo zimetolewa na shule ili kuleta hamasa na kuongeza idadi ya washiriki kwa mwaka 2024.

Washiriki walitoa elimu Kwa watu mbalimbali waliotembelea katika Banda la maonesho la Shule Kuu ya Madini na Jiosayansi  kuhusiana na tafiti zao zilizojikita zaidi katika masuala ya Gesi, Mafuta na Madini ni kwa jinsi gani zitaisaidia jamii. Mchakato wa kuwapata washindi ulifanywa na majaji wa Shule Kuu ya Madini na Jiosayansi ambapo walipita katika maonyesho na kuwasiliza washiriki juu ya tafiti zao na kuwapa Alama. Mshindi wa jumla wa maonesho haya ataendelea kwa ngazi ya chuo.

Mwisho

WASHINDI

GROUP PROJECT

Best Multidisciplinary Research Group Project- Ibrahim Mfungo, Mary Alberto, Frank Macha, Sixbert Switbert, William Kidala, Muyo Machule, Upendo Kilumbi, Nachindala Kiriho, Shabani Juma, Ramadhani Mashina, Clara Makoi, Fasida Kwisola and Dr. Elisante Mshiu

Title of ProjectGeotechnical and Geochemical Characterization of Building Minerals and Rocks in The Costal Basin and Mozambique Belt, Eastern Tanzania; Implication on The Supply Chain of Quality Building Materials for Construction

POSTGRADUATE PROJECT

1st Runner

Best Postgraduate Innovation Project- Ng’wigonji John Kidai and Dr. Oras Mkinga

Project title: Application of Machine Learning as a soft sensor for predicting gas wellhead pressure: case of Songo Songo Field

2nd Runner

Best Postgraduate Innovation Project- Rachel Sabuni

Project title:Petroleum systems and hydrocarbon potential of he Ruvuma Basin, Tanzania

UNDERGRADUATE PROJECT

1st Runner

Best Undergraduate Innovation Project- Kamage Ibrahim and Dr. Charles Kasanzu

Project title: Assessing Blast Movement Monitoring and Its Effectiveness in Grade Control at Nyamulilima Pit, Geita Gold Mine

2nd Runner

Best Undergraduate Innovation Project- Ester Stephen and Dr. Emily Kiswaka

Project title:The Karoo organic rich successions of the Tanga Basin: deposit types, depositional and postdepositional parameters