Tarehe 09 Januari 2023, Taasisi ya Taaluma za Kiswahili tulitembelewa na wajumbe kutoka Idara ya Lugha na masomo ya Afrika,Chuo Kikuu cha Havard -Marekani.