BA (Education) Hons., MA (Linguistics) and PhD (Kiswahili) Dar.
Teaching:
Children’s Literature
Gender Studies
Stylistics
Research Methods
Oral Literature
Research:
Children’s literature
Oral literature
Children’s studying materials
Gender
Stylistics
Gender Discourses analysis
Projects:
Dhima ya Lugha Anayotumia Mhusika Mtoto katika Vichekesho.
Utambulisho wa Kijinsia katika fasihi ya watoto.
Mwalimu Nyerere na tafsiri.
Dhima ya Takriri ya Kidhamira katika Riwaya za M.M. Mulokozi.
Publications:
2022 (Co-authored article) “Mbinu, Dhima na Athari za Kumuanika Nje Mfiwa katika Utendaji wa Utani wa Wahehe” MWANGA WA LUGHA.Jarida la Idara ya Kiswahili na Lugha Nyingine za Kiafrika Journal. Vol. 7 pp. 125-130.
2019 (Co-authored book) Fasihi ya Kiswahili ya Watoto: Maendeleo, Nadharia, Mbinu na Mifano ya Uchambuzi (Ngugi, P.M.Y., Lyimo, E.B., and Bakize, L. H.) TUKI: Dar es Salaam.
2019 (Book chapter) Ufundishaji wa Kozi ya Fasihi ya Watoto na Vijana (KF 203) Katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam: Mafanikio na Changamoto Zake. In Ernest Sangai Mohochi, Mwenda Mukuthuria na James Omari Ontieri (Eds.) KISWAHILI KATIKA ELIMU YA JUU pp. 51-65.
2019 (Book chapter) Maumbo ya Usharti katika ya Kiswahili: Utokeaji na Mfuatano wake katika Tungo za Kiswahili”. Katika Flavia Aiello na Roberto Gaudioso (Eds.) LUGHA NA FASIHI: Essays in honour of ELENA BERTONCINI ZUBKOVA.
2018 (Book chapter) Profesa Mugyabuso Mlinzi Mulokozi: Upekee wake Kitaaluma na Kijamii. In Shani Omari and Method Samweli (Eds.) FASIHI, LUGHA NA UTAMADUNI WA KISWAHILI NA KIAFRIKA: Kwa Heshima ya Prof. M.M. Mulokozi. TUKI. Dar es Salaam. pp. 2-40.
2017 (Co-authored article) Maendeleo ya Fasihi ya Watoto nchini Tanzania na Kenya: Mkabala Linganishi. In KISWAHILI: JARIDA LA TAASISI YA UCHUNGUZI WA KISWAHILI Jourrnal. Vol. 80, pp.115-136.
2017 (Article) Dhima ya Mianzo na Miisho katika Nathari za Kiswahili za Fasihi ya Watoto: Mifano kutoka Riwaya na Hadithi za Kiswahili za Watoto nchini Tanzania. In KIOO CHA LUGHA Journal. Vol.15, pp. 89-107.
2014 (Article) Nduni za Fasihi ya Watoto: Mifano kutoka katika Vitabu vya Kiswahili vya Fasihi ya Watoto Nchini Tanzania. In MULIKA Journal. Vol. 33: pp. 33-45.
2009 (Article) Matumizi ya Takriri ya Kimsamiati katika Ushairi wa Kiswahili. In Kioo cha Lugha Journal. Vol. 7. pp.17-31.