UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM
INSTITUTE OF KISWAHILI STUDIES (IKS)

Announcements

Balozi huyo wa China nchini Tanzania mwenye Umri wa Miaka 54 amewasili kwenye uwanja wa Ndege wa Julias Nyerere jijini Dar es salaam akiambatana na mumewe na kupokewa na Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Asia na Australasia katika wizara ya Mambo ya Nje ya Tanzania Bw Magubile Murabi.