UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM
INSTITUTE OF KISWAHILI STUDIES (IKS)

Announcements

UFADHILI WA MASOMO YA M.A. KISWAHILI

Taasisi ya Taaluma za Kiswahili ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kwa kushirikiana na Kampuni ya ALAF Limited inapenda kutangaza ufadhili wa ada kwa wanafunzi watatu (3) waliochaguliwa kusoma Programu ya M.A. Kiswahili katika Chuo Kikuu cha D

Read More

BEI ZA MACHAPISHO

Taasisi ya Taaluma za Kiswahili, imeandaa bei za machapisho ya mwaka 2021/2022.

Read More