UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM
RESEARCH AND EDUCATION FOR DEMOCRACY IN TANZANIA (REDET)

Announcements

Tunayo furaha kukufahamisha kwamba umechaguliwa kuwa mwangalizi wa muda mfupi (STO) siku ya kupiga kura tarehe 28 Oktoba 2020 kwenye jimbo ulilothibitisha kuwepo tarehe hiyo.

 

Tafadhali tutumie taarifa zako kwa barua pepe zifuatazo (sio kwa whatsupp au sms) kabla ya Jumapili saa kumi jioni:

 1. Kwa mikoa ya Ruvuma, Njombe, Singida na Kigoma tumia taarifa zako kwenye email: redetsto@gmail.com
 2. Kwa mikoa ya Tabora, Songwe, Simiyu na Pwani tumia taarifa zako kwenye email: redetsto01@gmail.com
 3. Kwa mikoa ya Zanzibar tumia taarifa zako kwenye email: redetsto02@gmail.com
 4. Kwa mikoa ya Manyara, Mwanza, Arusha na Mara tumia taarifa zako kwenye email: redetsto03@gmail.com
 5. Kwa mikoa ya Katavi, Kagera, Rukwa na Morogoro tumia taarifa zako kwenye email: redetsto4@gmail.com
 6. Kwa mikoa ya Kilimanjaro, Shinyanga, Iringa na Mbeya tumia taarifa zako kwenye email: redetsto05@gmail.com
 7. Kwa mikoa ya Dar es Salaam na Tanga tumia taarifa zako kwenye email: redetsto06@gmail.com
 8. Kwa mikoa ya Geita, Mtwara, Dodoma na Lindi tumia taarifa zako kwenye email: redetsto07@gmail.com

 

 1. Nakala tepe ( yaani soft copy of passport size ya picha yaho
 2. kati ya hizi (National ID, voter Id au Driver’s License);
 3. Signature page ya Declaration Form (ipakue chini ipo kwenye PDF format);

Tafadhali zingatia yafuatayo kwenye kujaza ‘Declaration Form’:

 • Sehemu ya Passport No: Weka na ya ID ( kati ya National ID, Voter’s ID au Driver’s Licence);
 • Issued by: jaza kati ya NIDA, NEC au TRA kutegemeana na mamlaka iliyotoa hiyo ID;
 • Majina utakayojaza yafanane na yale yanayotokea kwenye kitambulisho ulichotumia kati ya hivyo vilivyorodhoshwa hapo juu.
 • Organization: Jaza REDET
 • Occupation: Jaza Observer

Attachment: Download