UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM
RESEARCH AND EDUCATION FOR DEMOCRACY IN TANZANIA (REDET)

Announcements

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) inachukua fursa hii kuutaarifu Umma kwamba Ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi zilizokuwa katika Jengo la Posta makutano ya Mtaa wa Ohio na Ghana, zimehamia katika Jengo la Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki ghorofa ya nne (4) na ya tano (5) katika makutano ya Mtaa wa Garden na Shaban Robert Jijini Dar es Salaam

Attachment: Download