UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM
ALUMNI CONVOCATION AND ADVANCEMENT (ACA)

Announcements

Taasisi ya Taaluma za Kiswahili ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kwa kushirikiana na Kampuni ya ALAF Limited inafuraha kuwatangazia ufadhili wa ada kwa wanafunzi watatu (3) waliochaguliwa kusoma Programu ya M.A Kiswahili katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kwa mwaka wa masomo 2020/2021.

Kwa maelezo zaidi, pakua kiambatanishi hapa chini

Attachment: Download