UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM
DIRECTORATE OF PUBLIC SERVICES (DPS)

Announcements

KURUGENZI YA HUDUMA KWA UMMA  KUPITIA KITENGO CHA MAFUNZO ENDELEVU IMEANDAA SEMINA YA WAHUDUMU WA OFISI WA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM ITAKAYOFANYIKA KUANZIA TAREHE 8 HADI 11 OKTOBA,2019 KATIKA UKUMBI WA MIKUTANO CCE.