TAASISI YA SAYANSI ZA BAHARI, CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM ITAADHIMISHA WIKI YA UTAFITI TAREHE 9 APRILI 2019 KWA MAONESHO.
MAONESHO YA MATOKEO YA TAFITI MBALIMBALI ZA KISAYANSI KWA WANANCHI WOTE YATAFANYIKA KATIKA JENGO LA TAASISI YA SAYANSI ZA BAHARI LILILOKO KAMPASI YA BUYU, ZANZIBAR KUANZIA SAA 3 ASUBUHI.
KAULI MBIU YA MAONESHO HAYA NI “UTAFITI KWA MAENDELEO JUMUISHI NA ENDELEVU” KWA LUGHA YA KIINGEREZA INASOMEKA.
Nyote Mnakaribishwa