UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM
CENTRE FOR CLIMATE CHANGE STUDIES (CCCS)

Announcements

Mkurugenzi, Taasisi ya Tathmini Rasilimali, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, anawatangazia waombaji kazi kwa ajira ya mkataba mfupi katika nafasi ya Dereva kuhudhuria usaili utakaofanyika siku ya Jumatano, Alhamisi na Ijumaa tarehe 20, 21 na 22 Septemba 2023, kuanzia saa 02:00 asubuhi (08:00 a.m.), Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, kama inayoonekana katika jedwali hapa chini:-.

 

Tarehe ya Usaili wa Kuandika: Jumatano, 20 Septemba 2023

Ukumbi: Darasa la ATB (karibu na Seminar Rooms)

 

Tarehe ya Usaili wa Vitendo: Alhamisi, 21 Septemba 2023

Mahali: Ofisi ya Usafiri, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam

 

Tarehe ya Usaili wa Mahojiano: Ijumaa, 22 Septemba 2023

Ukumbi: Chumba cha mkutano cha Kituo cha Taaluma za Mabadiliko ya Tabianchi (CCCS Board Room)

 

Wasailiwa wote wanapaswa kuzingatia mambo yafuatayo:-

  1. Kuwasilisha vyeti halisi vya taaluma ikiwemo cheti cha kidato cha nne, vyeti vya udereva;
  2. Cheti cha kuzaliwa na leseni ya udereva;
  3. Kitambulisho cha Taifa (NIDA), Mpiga Kura au Pasi ya Kusafiria kwa ajili ya utambuzi;
  4. Wasailiwa watakaowasilisha “Provisional Results”, “Statement of Results”, hati za matokeo ya kidato cha IV na VI (Form IV and VI results slips) HAVITAKUBALIWA NA HAWATARUHUSIWA KUENDELEA NA USAILI;
  5. Kila msailiwa azingatie tarehe, muda, na mahali ambapo usaili utafanyika;
  6. Kila msailiwa atajigharamia usafiri, chakula na malazi;
  7. Waombaji kazi ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue kuwa hawakukidhi vigezo kwa mujibu wa nafasi zilizotangazwa. Hivyo, wasisite kuomba tena pindi nasfai za kazi zitakapotangazwa na kuzingatia mahitaji ya tangazo.

 

Majina ya Waombaji Kazi kwa Kada ya Dereva waliochaguliwa kuhudhuria Usaili

NA.

JINA

JINSIA

ANUANI

1.

DAUDI MODEST MALLYA

Me

S. L. Posta 10486, ARUSHA

2.

CHARLES WILLIAM

Me

S. L. Posta 9193, DAR ES SALAAM

3.

SALUM SHABAN YOMBAYOMBA

Me

S. L. Posta 13303, Ilala, DAR ES SALAAM

4.

WILLIAM LUHENDE PETRO

Me

DODOMA

5.

SELEMANI ABDALLAH KITENGE

Me

S. L. Posta 60008, DAR ES SALAAM

6.

RAMADHANI SALUM DOGOLI

Me

Kigamboni, DAR ES SALAAM

7.

RASHID MUHAFI MAHEZA

Me

DAR ES SALAAM

8.

RAHIM YAHAYA JAIBU

Me

S. L. Posta 55068, DAR ES SALAAM

9.

VICENT ELIAS MAKUNDI

Me

S. L. Posta 55068, DAR ES SALAAM

10.

DOTTO DANFORD MAYAU

Me

P. O. Box 76593, DAR ES SALAAM

11.

DAUDI WILLIAM OKELLO

Me

Mgeninani, Kijichi,

DAR ES SALAAM

12.

JUMANNE ALLY SEIF

Me

S. L. Posta 34167, DAR ES SALAAM

13.

CHIKIRA NICKSON SEKIETE

Me

S. L. Posta 3162, ARUSHA

14.

UDYA MOHAMED NDEDELA

Me

Ubungo District, DAR ES SALAAM

15.

MAJUTO HAMISI ATHUMANI

Me

S. L. Posta 9261, DAR ES SALAAM

16.

JUMA SELEMANI UMELA

Me

S. L. Posta 1053, DODOMA

17.

JELINO JOHN LUSUVA

Me

S. L. Posta 7725, DAR ES SALAAM

18.

DENICE MARTIN KINGAZI

Me

S. L. Posta 24046, DAR ES SALAAM

19.

EMMANUEL GEMU MWAKIBINGA

Me

S. L. Posta 481, Mkolani Street, Nyegezi, MWANZA

20.

GILBERT BERNEDICTO MCHOMVU

Me

S. L. Posta 31902, Kigogo, DAR ES SALAAM

21.

FRANK MICHAEL NUNGWE

Me

S. L. Posta 167, DAR ES SALAAM

22.

IRENE ELIFURAHA MUNUO

Ke

S. L. Posta 1249, DODOMA

23.

JAMES YAHAYA DONDWE

Me

S. L. Posta, DAR ES SALAAM

24.

EDWIN JOSEPH NDITI

Me

S. L. Posta 15982, DAR ES SALAAM

25.

HARISON GAUDIN MUJWAHUZI

Me

S. L. Posta Box 35444, Tabata, DAR ES SALAAM

26.

FESTO EDMUND NGONYANI

Me

S. L. Posta 30112, Kibaha, PWANI

27.

DANIFORD DONALD MTAMBULE

Me

S. L. Posta 2060, DODOMA

28.

BRIAN FRANCIS MONGI

Me

S. L. Posta 8147, DAR ES SALAAM

29.

FELIX CASIMIRY SWATY

Me

S. L. Posta 14524, DAR ES SALAAM

30.

FRANK BARTHOLOMEW SEMINDU

Me

S. L. Posta 55068, DAR ES SALAAM

31.

FAUSTINE JOSHUA MROPE

Me

S. L. Posta 90381, DAR ES SALAAM

32.

BENARD YOHANA NGOMAITALA

Me

S. L. Posta 912,
DODOMA.

33.

CHARLES FELICIAN STENSON

Me

S. L. Posta 45220, DAR ES SALAAM

34.

ABBAS RAMADHANI SANGU

Me

S. L. Posta 23225, DAR ES SALAAM

35.

ALPHONCE ERASTO KANDUTA

Me

University of Dar es Salaam Computing Centre, C/o Joyce Joseph Liwa, S. L. Posta 35062, DAR ES SALAAM

36.

ABDALLAH YAHAYA HASSANI

Me

S. L. Posta 93626, Kinondoni, DAR ES SALAAM

37.

SADY BALTAZARY KIPUTA

Me

P. O. Box 33489, DAR ES SALAAM

38.

JOHN ANDREW MAKAME

Me

P. O. Box 92, Bagamoyo, PWANI

39.

JAMES TUMAINI MAGOHE

Me

P. O. Box 6501, DAR ES SALAAM

40.

JACKSON CHRISTOPHER MOSHA

Me

P. O. Box 5055, DAR ES SALAAM

41.

EDWIN HUMPHREY TOMEKA

Me

IRINGA

42.

EVANCE FABIAN MROSSO

Me

P. O. Box 32961, DAR ES SALAAM

43.

ASHIRAFU MOHAMEDI MUSSA

Me

P. O. Box 1600, MOROGORO

44.

MOHAMED THABITI ALLY

Me

P. O. Box 9024, Ubungo, DAR ES SALAAM

 

MKURUGENZI

TAASISI YA TATHMINI RASILIMALI

 

IMETOLEWA 12 SEPTEMBA 2023

 

TAFADHALI PAKUA KIAMBATISHO KWA MAELEZO ZAIDI

Attachment: Download