Ofisi ya Naibu Makamu Mkuu wa Chuo-Taaluma inapenda kuwatangazia wanafunzi wa mwaka wa kwanza kuwa makundi yafuatayo wanashauriwa kuomba usajili wa muda kwa Mkurugenzi wa Shahada za Awali ili waweze kukamilisha taratibu husika.
Attachment: 20181116_063259_UDSM_Usajili Wa Muda kwa wanafunzi wa mwaka wa kwanza.pdf