Malengo ya Mafunzo
Kutoa mafunzo kwa walimu watakaofundisha Kiswahili kama lugha ya Kigeni/Pili kwa kuwapatia maarifa, mbinu na ujuzi wa kuwafundisha wageni na/au kuimarisha maarifa yao.
Maudhui ya Mafunzo
- Dhana muhimu katika ufundishaji wa lugha ya kigeni/pili
- Mikabala ya ufundishaji wa lugha ya kigeni/pili, zana na mbinu zake
- Masuala ya msingi wakati wa ufundishaji
- Ufundishaji kwa kuzingatia makundi maalumu
- Utendaji darasani na mahitaji yake
- Ufundishaji wa lugha ya kigeni/pili kwa njia ya mtandao
- Utamaduni na masuala mtambuka.
Soma Zaidi >>>