Ofisi ya Naibu Makamu Mkuu wa Chuo-Taaluma inapenda kuwatangazia wanafunzi wa mwaka wa kwanza pamoja na wanafunzi wanaoendelea kuwa mwisho wa kujisajili (registration) ni siku ya Jumatatu tarehe 3 Decemba 2018 saa 12 jioni.
Attachment: 20181128_092312_UDSM_USAJILI KWA WANAFUNZI WOTE.pdf