Taasisi ya Taaluma za Kiswahili ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kwa kushirikiana na Kampuni ya ALAF Limited inafuraha kuwatangazia ufadhili wa ada kwa wanafunzi watatu (3) waliochaguliwa kusoma Programu ya M.A Kiswahili katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kwa mwaka wa masomo 2019/2020.

Angalia Kiambatanisho kwa maelezo zaidi

Attachment: 20191017_113550_UDSM_UFADHILI WA MASOMO YA MA KISWAHILI.pdf