Taasisi ya Taaluma za Kiswahili ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kwa kushirikiana na Kampuni ya ALAF Limited inapenda kutangaza ufadhili wa ada kwa wanafunzi watatu (3) kusoma Programu ya M.A. Kiswahili katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kwa Mwaka wa Masomo 2023/2024.