Taasisi ya Taaluma za Kiswahili ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kwa kushirikiana na Kampuni ya ALAF Limited inafuraha kuwatangazia ufadhili wa ada kwa wanafunzi watatu (3) wa kusoma Programu ya M.A Kiswahili katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kwa mwaka wa masomo 2019/2020.
Angalia kiambatanisho kwa maelezo zaidi.
Attachment: 20191107_092959_UDSM_UFADHILI WA MA KISWAHILI 2019-2020 -MARUDIO.doc