Makamu Mkuu wa Chuo, Prof. William A. L. Anangisye, anasikitika kutangaza kifo cha Dkt. Novetha Kigombe (1980-2021), kilichotokea tarehe 26 Oktoba 2021 katika Hospitali ya Mlonganzila.
SOMA ZAIDI >>>