Uongozi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam unapenda kuwataarifu wanafunzi waliodahiliwa kwa mwaka wa masomo wa 2018/2019 kwamba, wanatakiwa kufika katika jengo la “Engineering Block A” siku ya Jumamosi tarehe 10 Novemba 2018 kuanzia saa mbili kamili asubuhi.
Attachment: 20181109_085038_UDSM_TANGAZO MUHIMU KWA WANAFUNZI WA MWAKA WA KWANZA.pdf