Tangazo la maeneo ya kupanga kwa ajili ya kutolea huduma kwa wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam - Septemba 2022
Wed, 31.Aug.2022
16.00
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (CKD) kinapenda kuutangazia umma kuwa kimetenga maeneo maalumu kwa ajili ya kutoa huduma mbalimbali kwa wanafunzi kama ifuatavyo