Mkurugenzi, Taasisi ya Tathmini Rasilimali, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, anawatangazia waombaji kazi wafuatao katika nafasi ya Afisa Hesabu na Dereva waliofanya usaili wa mchujo na vitendo kuwa wamefaulu kuendelea na usaili wa mahojiano utakaofanyika tarehe 22 Septemba 2023, kuanzia saa 02:00 asubuhi (08:00 a.m.), Chuo Kikuu cha Dar es Salaam

Soma Zaidi >>>