TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA NAFASI YA “DRIVER” NA “ACCOUNTS ASSISTANT” KATIKA MRADI WA NEUROSOLVE – CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM NDAKI YA AFYA NA SAYANSI SHIRIKISHI MBEYA

Tunapenda kuwatangazia waombaji kazi wa ajira ya mkataba mfupi katika nafasi ya “Driver” na “Accounts Assistant” kuhudhuria usaili utakaofanyika katika Ndaki ya Afya na Sayansi Shiriki - Mbeya kuanzia tarehe 8 hadi 10 Februari, 2024 kama inavyonekana katika jedwali.

Soma Zaidi >>