Naibu Makamu Mkuu wa Chuo, Mipango Fedha na Utawala anawatangazia waombaji kazi kwa ajira ya mkataba mfupi katika nafasi ya Dereva na Mlinzi kuhudhuria usaili utakaofanyika tarehe 30 na 31 Agosti, 2023 kuanzia saa 08:00 asubuhi, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kama inavyonekana katika jedwali.