Mkurugenzi, Taasisi ya Tathmini Rasilimali, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, anawatangazia waombaji kazi kwa ajira ya mkataba mfupi katika nafasi ya Dereva kuhudhuria usaili utakaofanyika siku ya Jumatano, Alhamisi na Ijumaa tarehe 20, 21 na 22 Septemba 2023, kuanzia saa 02:00 asubuhi (08:00 a.m.), Chuo Kikuu cha Dar es Salaam