Uongozi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam unapenda kuwataarifu wote walioomba kazi katika kada za wanataaluma kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 15 Oktoba, 2022 hadi tarehe 21 Oktoba, 2022.
Soma Zaidi >>>