TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI - KADA ZA WANATAALUMA
Thu, 25.May.2023
21.39
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kinapenda kuwataarifu wote walioomba kazi katika kada za wanataaluma kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 30 Mei, 2023 hadi tarehe 6 Juni, 2023.