Taasisi ya Taaluma za Kiswahili yaChuo Kikuu cha Dar es Salaam(CKD)kwa kushirikiana na Kampuni ya ALAF Limitedina furahakutangaza ufadhili wa ada kwa wanafunziwatatu (3)waliochaguliwakusoma Programu ya M.A.(Kiswahili)katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kwa Mwaka wa Masomo 2020/2021.
Attachment: 20201117_041233_UDSM_TAASISI YA TAALUMA ZA KISWAHILITANGAZO LA UFADHILI WA MASOMO YA M.A.(KISWAHILI)(MARUDIO).pdf