Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kinapenda kuwatangazia Wahitimu na Umma kwa ujumla kuwa Mahafali ya 52, Duru ya Nne (4) yatafanyika Jumatatu tarehe 14Novemba 2022 katika Taasisi ya Sayansi za Bahari (IMS), Kampasi ya Buyu Zanzibar, kuanzia saa mbili asubuhi.