Mafunzo ya Ujasiriamali kwa Wahitimu wa Vyuo vya Elimu ya Juu 2021
Fri, 17.Sep.2021
18.14
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam anawatangazia wahitimu wote wa elimu ya juu kuwa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kimeandaa mafunzo ya ujasiriamali yatakayotolewa katika mikoa kumi ya Tanzania (Tanzania Bara na Zanzibar)