Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam anawatangazia wahitimu wote wa elimu ya juu kuwa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kimeandaa mafunzo ya ujasiriamali yatakayotolewa katika jumla ya mikoa kumi ya Tanzania (mikoa nane Tanzania Bara na mikoa miwili Zanzibar) kuanzia mwezi Agosti hadi mwezi Oktoba mwaka 2019.
Kwa Maelezo zaidi angalia kiambatanisho
Attachment: 20190730_045452_UDSM_MAFUNZO YA UJASIRIAMALI KWA WAHITIMU WA VYUO VYA ELIMU YA JUU.pdf