Malengo ya Mafunzo

Kutoa mafunzo kwa wanahabari kuhusu matumizi ya lugha ya Kiswahili katika tasnia ya habari ili kukuza stadi za matumizi bora ya lugha ya Kiswahili katika uandishi wao.

Walengwa wa Mafunzo

Wanahabari, watangazaji, wahariri, maafisa habari na uhusiano kwa umma wa serikali na sekta binafsi kutoka vituo vya runinga, redio, magazeti na blogu za Kiswahili.

Gharama kwa Kila Mshiriki

Mafunzo yatatolewa bila malipo. Wahi, nafasi ni chache.

Namna ya Kujiandikisha
Bofya hapa https://forms.gle/AJchLCmKmKyK4JcS6

 

Maelezo Zaidi >>