MALENGO YA MAFUNZO MAFUNZO:

Mafunzo haya yamelenga kuwawezesha walengwa: Kuwa na mtizamo na fikra chanya za biashara; Kuwa viongozi wazuri wa biashara; Kuandaa mahesabu ya biashara kitaalam; Kupata mbinu za kutafuta masoko; Kupata mbinu za kutafuta rasilimali zaidi za biashara; na Kupata mbinu nzuri za kuboresha huduma kwa wateja.

MAELEZO ZAIDI >>>