Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (CKD) kinapenda kutangazia umma kuwa kimetenga maeneo maalumu kwa ajili ya kutoa huduma mbalimbali kwa wanafunzi.
Fungua kiambatanisho hiki kufahamu zaidi.
Attachment: 20200122_121144_UDSM_Maeneo ya kupanga kwa ajili ya kutoa huduma kwa wanafunzi wa Chuo Kikuu Cha Dar es salaam.pdf