Tunapenda kuwatangazia waombaji kazi wa ajira ya mkataba mfupi katika nafasi ya “Driver” na “Accounts Assistant” kuwa usaili uliopangwa kufanyika katika Ndaki ya Afya na Sayansi Shiriki - Mbeya kuanzia tarehe 8 hadi 10 Februari, 2024 umesogezwa mbele na utafanyika kuanzia tarehe 15 hadi 17 Februari 2024 kama inavyonekana katika jedwali.