WAFUATAO WANAITWA KWENYE USAILI KWA AJILI YA MAOMBI YA AJIRA ZA MUDA KATIKA TAASISI YA TAALUMA ZA KISWAHILI, CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM
USAILI HUO WA KUANDIKA UTAFANYIKA SIKU YA JUMAMOSI TAREHE 28 JANUARI SAA 2:00 KAMILI ASUBUHI KATIKA UKUMBI WA NYERERE THEATRE I, UDSM