UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM
DAR ES SALAAM UNIVERSITY STUDENTS ORGANISATION (DARUSO)

Announcements

 

Serekali ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (DARUSO-Mlimani) mnamo tarehe 25.07.2020 siku ya Jumamosi ilifanya kikao chake cha kwanza cha bunge kilichohudhuriwa na Viongozi waliochaguliwa kwa dhamana ya Wanafunzi kutoka Ndaki na Shule Kuu mbalimbali wakiongozwa na spika wa bunge. Lakini pia alikuepo kiongozi Mkuu wa serekali ya Wanafunzi Mhe. Rais Mtafya Noel A. ambaye alipewa nafasi ya kuzungumza na aliwataka Viongozi wote kuwajibika katika kazi ili kuhakikisha wanatimiza yale yote walioahidi na kuifanya DARUSO kuwa imara sana.

Attachment: Download