KOZI YA MUDA MFUPI YA ULIPUAJI NA UCHORONGAJI MIAMBA (DRILLING AND BLASTING) Chuo cha Madini Dodoma kimepewa mamlaka na Wizara ya Madini kupitia Tume ya Madini kufundisha Kozi ya muda mfupi ya Uchorongaji na Ulipuaji miamba kwa wote wanaohitaji kupata Cheti cha Kulipulia Miamba [BLASTING CERTIFICATE (BC)] Mafunzo hayo yatawapatia Cheti cha Umahiri (CERTIFICATE OF COMPETENCE) ambacho kitamuwezesha muombaji kupata BC kwenye ofisi za Afisa Madini Wakazi (RMOs) Mkoa wowote Tanzania Bara.
Kupata fomu Pakua hapa chini