UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM
INSTITUTE OF GENDER STUDIES (IGS)

Siku ya wanawake duniani 2020

Siku ya wanawake duniani 2020. Kauli mbiu: Kizazi cha haki na usawa wa jinsia kwa maendeleo endelevu. Mgeni rasmi Mh. Angellah Kairuki (MB); Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji)