UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM
DAR ES SALAAM UNIVERSITY COLLEGE OF EDUCATION (DUCE)

News

Staff from different committees at DUCE received a special training on recording proceedings of meetings and events last week.

The aim of the training was to ensure that all reports and meeting proceedings were recorded correctly devoid of mistakes and errors.

The Deputy Principal Administration, Dr. Method Samwel Semiono, officiated at the training and said that the seminar came at an opportune time when diligence in recording proceedings of meetings and events was much needed.

‘The training will expose you to current practices in preparing and recording proceedings of meetings and other events,’ Dr. Semiono said adding that the secretaries and recorders at the College had to take the advantage.

Various topics including planning and managing the meetings, agenda of meetings, memorandum record keeping and exposure to the duties of conference secretary were presented.

Watumishi wapata mafunzo ya kuandika kumbukumbu za vikao na matukio

Watumishi kutoka kamati mbalimbali chuoni wamepata mafunzo maalumu ya kuandika kumbukumbu za vikao na matukio Chuoni.

Mafunzo hayo yalilenga kuhakikisha kuwa watumishi hao wanaandika taarifa za matukio na vikao kwa usahihi bila makosa.

Naibu Rasi (Utawala), Dr. Method Samwel Semiono, ambaye alikuwa Mgeni Rasmi katika semina hiyo aisema mafunzo yamekuja katika wakati ambapo umakini katika uandishi wa taarifa unahtajika zaidi.

‘Mafunzo haya yatawaongoza katika kuju mbinu za kisasa za uandishi wa taarifa za mikutano na matukio mengine, alisema Dkt. Semiono akingeza kuwa ni muhimu kwa wanasemina kuyapa uzito mafunzo hayo.