UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM
DAR ES SALAAM UNIVERSITY COLLEGE OF EDUCATION (DUCE)

Announcements

Taasisi ya Taaluma za Kiswahili ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (CKD) kwa kushirikiana na Kampuni ya ALAF Limited inafurahi kuwatangaza ufadhili wa ada kwa wanafunzi watatu (3) waliochaguliwa kusoma Programu ya M.A. Kiswahili katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kwa Mwaka wa Masomo 2021/2022.

 

 

 

PAKUA KIAMBATISHO KWA MAELEZO ZAIDI.

Attachment: Download