Mafunzo wezeshi kwa watumishi wa CDS ambayo yataendeshwa kwa siku tano kuanzia tarehe 12-03-2024 hadi 16-03-2024. Mafunzo hayo yatagawanyika katika vitengo vitatu; kitengo cha wasioona, kitengo cha Viziwi na Ukalimani wa Lugha ya Alama na ukalimani pamoja na madereva wa CDS.